Jibu wateja, pokea oda na fuatilia mauzo kiotomatiki—saa 24, kila siku.
Imeundwa kwa biashara zinazouza kupitia WhatsApp
Fuatilia mazungumzo, oda, bidhaa zinazouliziwa zaidi na maombi maalumu ya wateja kupitia dashibodi rahisi na ya kisasa.
Aziry AI imeundwa kwa teknolojia ya kisasa zaidi kufanya mauzo badala ya kujibu maswali tu.
Mteja hasubiri hata sekunde. AI inajibu meseji na kumuhudumia masaa 24/7, siku zote za wiki bila kuchoka wala kulala.
AI inatambua bidhaa zako zote, inapokea oda (size, rangi), inachukua location ya mteja, na kuipanga kwenye dashboard yako tayari kwa delivery.
Kama mteja aliulizia bidhaa akashindwa kununua, AI itamfuatilia kwa upole (Nudge) baada ya masaa kadhaa ili amalishe malipo. Hii inaokoa mauzo kwa 40%.
Inaelewa Kiswahili cha kawaida na Kiingereza. Inaweza kujadili bei, kueleza faida za bidhaa, na kumshawishi mteja kitaalam.
Oda mpya ikiingia au mteja akifanya malipo, unapata Push Notification moja kwa moja kwenye simu yako au kompyuta.
Ona ripoti za kila siku: bidhaa gani zinauzika sana, wateja wangapi wamehudumiwa, na thamani ya oda zilizofungwa na AI.
Hatua 3 rahisi sana kuanza. Hakuna ujuzi wa IT unaohitajika. Setup inachukua dakika mbili tu.
Fungua akaunti na uscan QR code au utumie Pairing code kuunganisha namba yako ya WhatsApp—kama unavyounganisha kwenye WhatsApp Web.
Ongeza bidhaa zako, bei, picha, na maelezo mafupi. AI yetu itazisoma hizo bidhaa ili iweze kuwauzia wateja wako kwa usahihi.
Bofya "Washa Bot". Kuanzia hapo AI itahandle wateja wote. Kazi yako inabaki kuwa moja tu: Kupakia mizigo na kuituma kwa wateja waliolipa!
Tofauti ya WhatsApp ya Kawaida dhidi ya Aziry Tech AI
Chagua mpango unaofaa kwa biashara yako. Anza bila malipo leo.
Bora kujaribu mfumo kwanza
Kwa wafanyabiashara makini
Okoa pesa kwa kulipia mwaka mzima
Tazama jinsi wafanyabiashara wengine walivyobadilisha biashara zao na Aziry Tech AI.
"Tangu niweke hii system, mauzo yangu yamepanda sana. Wateja wanapenda namna AI inavyowajibu kwa haraka na ukarimu. Sasa hivi nalala na naamka nakuta oda zimeshapangwa."
"Feature ninayoipenda zaidi ni ile ya kukumbusha wateja (Follow-up). Mteja akiulizia bei akapotea, AI inamfuata tena baadaye na wengi wanaishia kununua. Ni kama nina mfanyakazi asiyechoka!"
Ndiyo na Hapana! AI yetu inatumia lugha ya asili ya Kiswahili na kujibu kiprofessional sana. Hata hivyo, tunashauri uweke kwenye 'Miongozo ya Duka' kwamba wateja wanahudumiwa na Msaidizi wa AI kwa uwazi zaidi.
AI yetu inatambua inaposhindwa kujibu au mteja akikasirika. Itakutumia Notification wewe mmiliki na kumwambia mteja "Samahani, nakuunganisha na muuzaji sasa hivi." Pia unaweza kuzima AI kwa namba fulani ukiwa kwenye Dashboard.
Ndiyo! Utascan QR Code au kutumia Pairing code kwenye Dashboard yetu kama vile unavyounganisha WhatsApp Web. Tunashauri utumie namba ya biashara (WhatsApp Business) kutenganisha na meseji binafsi.
Usipoteze wateja kwa kuchelewa kuwajibu. Weka mashine yetu ifanye kazi badala yako.
Tengeneza Akaunti BureHakuna Kadi ya Benki Inahitajika. Setup ndani ya Dk 2.